“Kupost picha zako kila mwanzo wa mwaka kunaniletea shida na matatizo” – Wastara

January 1, 2018 ni sikukuu ya Mwaka Mpya na kila mtu anastahili yake ya kusherekea kuupokea Mwaka Mpaya 2018. Kwa upande wa muigizaji Wastara Juma yeye amesema huwa anaitumia siku ya leo kwa kuangalia picha za aliyekuwa mume wake Sajuki Kilowoko amabaye alifariki January 2, katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Katika ukurasa wake wa Instagram Wastara ameandika “Naweza nikawa nakosea sana lakini sina jinsi ni mapenzi ya dhati ndio yananituma kufanya hivi siwezi kuuzuia moyo Ulipokuja kwenye maisha yangu kuna maisha mapya nimeishi na wewe na umeniacha,”

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*