BENKI KUFUNGWA: “Mamilioni yote yapo Benki, ndani nina elfu 20 tu sijui nitafanyaje na ada za watoto”

Mwanaume inayesemekana kuwa ndiye aliyemchumbia Jacqueline Wolper amezungumza na kuelezea kuhusu swala la yeye kumchumbia Wolper ambapo amesema haikuwa haraka kama watu wanvyodhani bali ni kitu cha muda kwani penzi lao halijaanza kama Uyoga..

“Nimeweka pesa nyingi, ada za watoto zote nilikuwa nimeweka huku, hata Jumatatu sina ada ya kuwapeleka wanangu shule, nina watoto wa chuo na wa shule za English medium, sina hata senti tano na ndani nia shilingi Elfu ishirini tu.” – Elizabeth Munish

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*