Hichi ndicho Alichosema Dogo Janja kwa wenye ‘Mazoea na mke wake’

Msanii wa Bongofleva Dogo Janja amepost picha akiwa na mkewe Irene Uwoya katika ukurasa wake wa Instagram na kumsifia mkewe kwa kuandika Caption ambayo mwihsoni kamalizia na hashtag za kumsifia na kukataa mazoea kwa mkewe.

Dogo Janja ameandika hivi….>>>>“Ni bora umwage damu mbele ya adui yako kuliko kumwaga chozi… #MyBeautifulWife ❤ #AtadondokaMtu#MazoeaNaMkeWangu?” – Dogo Janja

Pamoja na Dogo Janja kupost na kuandika hivyo mkewe Irene Uwoya na yeye al-comment chini kwa kuandika….>>>“Unamkwara baba….ila usiue Utaenda Jela” – Irene Uwoya

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*