PICHA 16: Kutoka King Solomon katika show ya usiku wa babu seya na papii kocha

Waimbaji Papii Kocha na baba yake mzazi Nguza Viking maarufu kama Babu Seya usiku wa March 10 2018 katika ukumbi wa King Solomon Dar es Salaam walikata kiu ya miaka 13 ya mashabiki wa muziki wao kukosa kuona show yao.

Babu Seya na Papii Kocha walifanya show hiyo iliyokuwa imepewa jina la The Viking’s ikiwa ni siku 92 zimepita toka watoke gerezani kwa msamaha wa Rais Magufuli baada ya kutumikia kifungo cha maisha kwa miaka 13 jela.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*