Video: Wema afunguka kuolewa na Diamond, pia ajibu kuhamishia show yake Wasafi TV

Msanii wa Filamu Bongo, Wema amejibu tetesi kuwa yupo mbioni kufunga ndoa na msanii wa muziki Diamond, pia amezungumzia kuhusu kuhamishia kipindi chake ‘My Shoes’ Wasafi TV.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*