BREAKING:’Nondo alikwenda kwa Mpenzi wake’-Polisi DSM

Kamanda wa Jeshi la Polisi kanda maalum DSM, Lazaro Mambosasa amesema kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi, Abdul Nondo hakutekwa. Aidha amesema uchunguzi umebainisha kuwa alikwenda Mkoani Iringa kwa mpenzi wake waliyekuwa wakiwasiliana muda wote wa safari.

“Polisi baada ya kupata taarifa hii tulianza ufuatiliaji ili kubaini ukweli, tulipokea taarifa kutoka jeshi la polisi Iringa kuwa Mwanafunzi huyo alipatikana mkoani humo wilaya ya Mafinga akiendelea na shughuli zake na wala hakuripoti mahali popote” -Mambosasa

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*