Mange kimambi amshukia tena Diamond

MANGE KIMAMBI AMCHAFUA TENA MSANII DIAMOND PLATNUMZ ADAHI DIAMOND SIO MSANII BALI NI MZUGAJI.
Mwanadada asieishiwa vituko mange kimambi amefunguka na kudahi msanii diamond platnumz sio msanii Bali ni mzugaji.
Mange amesema tofauti ya dai na kiba ni kwamba alikiba ni msanii na anaimba kwaajili ya kujiburudisha hila diamond sio msanii Bali anatembelea nyota ya alikiba na mziki wake yeye ni pesa mbele

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*