VIDEO:Tunda na Casto Dickson wazungumza kuhusu kuwa wapenzi

Baada ya kuonekana kuwa karibu na kuibua headlines mitandaoni kati ya Staa Tunda na Mtangazaji Casto Dickson kudaiwa kuwa wanatoka kimapenzi, sasa Ayo TV na millardayo.com imewapata mastaa wote wawili tena wakiwa pamoja ambapo wamezungumzia hilo.

Casto Dickson amesema kwamba yeye ni meneja wa Tunda na kuna project mpya inakuja inayowahusu ma-house girl ambapo Tunda atakuwa Balozi wao na kwa upande wa Tunda na yeye alisema ni kweli ni project inakuja ila watawaeleza mashabiki ikishakamilika

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*