Hii ni kwa wanaume yafahamu mafuta ya mwili yanayoharibu homoni za kiume

Onyo limetolewa na kwa wanaume ambao ni wateja wakubwa wa mafuta maarufu kama Lavender, kuwa ndani ya mafuta hayo zipo kemikali ambazo husasabisha matiti kuota kwenye vifua vya wanaume.

Mafuta hayo ni ya mmea wa maua na hupatikana katika bidhaa tofauti kama vile sabuni, mafuta ya kujipaka, mafuta ya kuosha nywele pamoja na bidhaa za kutengeza nywele

Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa kemikali zinazopatikana katika mafuta hayo husabisha matatizo katika mfumo wa homoni za wanaume na kuathiri kubalehe pamoja na ukuwaji.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*