PICHA 6: Casto Dickson na Tunda wakila raha Zanzibar

Tetesi zinazoendelea katika mitandao ya kijamii ni kuwa video vixen maarufu nchini Tunda pamoja na mtangazaji wa Clouds Tv Casto Dickson inasemekana kuwa wapo katika uhusiano wa kimapenzi ingawa wawili hao hawajathibitisha hilo kokote zaidi ya kusema kuwa wanafanya kazi pamoja kwaajili ya project mpya ya Tunda.

Nakusogezea picha 6 zinazomuonyesha Tunda na Casto Dickson wakiwa fukwe za Zanzibar  wakijiachia

 

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*