Breaking News: Mkurugenzi Halmashauri ya Kongwa Afariki Ajalini

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, Ngusa Izengo, amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia leo huko Chalinze-Nyama nje kidogo ya mji wa Dodoma.

Muonekano wa gari alilokuwa amepanda Ngusa Izengo baada ya kuangukiwa na lori la mafuta.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*