Irene Uwoya alivyobananishwa kuhusu tattoo ya Dogo Janja afunguka haya (VIDEO)

Jumamosi ya April 14 2018 ulikuwa ni uzinduzi wa Mak Chicken Sinza Africasana ambapo mastaa mbalimbali walijitokeza katika uzinduzi huo kama Rose Ndauka, Irene Uwoya na Gadner G Habash na Ayo TV ilikuwa pale kukulete kila kitu.

Kama utakumbuka siku kadhaa zilizopita Dogo Janja alipost picha ya Irene Uwoya akiwa kachora tattoo ya jina lake, hivyo Ayo TV ilivyomuona ikaona sio vibaya akiizungumzia ishu hiyo, ni kweli hawezi kujutia na kuamua kuifuta tattoo hiyo kwa siku za baadae?

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*