HII NDO IDADI YA VIFO VILIVYOTANGAZWA MPAKA SASA, MAFURIKO DSM

Leo April 16, 2018 Kamanda wa Kanda Maalum Polisi DSM Lazaro Mambosasa amesema kufuatia mvua kali zinazoendelea kunyesha watu 9 mpaka sasa wameripotiwa kupoteza maisha katika maeneo mbali ya jiji la Dar es salaam.

Akiongea na waandishi wa habari Kamanda Mambosasa amesema “vifo tisa vimetokea ambapo kuna Mama na mtoto wamefariki baada ya kuangukiwa na ukuta, Salasala nyumba ilianguka na kumwangukia Mzee Mikidadi na kusababisha kifo chake”

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*