VIDEO : HATARI DAR NDEGE YASABABISHA TAHARUKI IKIWA INAJIANDAA KUPAA KWENYE MAJI MENGI YALIYO JAA UWANJANI HAPO

Matukio kadhaa yamenaswa kwenye video kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Dar es salaam ambapo kwenye hii video, Watu wanaoaminika kuwa Wafanyakazi wa Airport Dar walionekana kuwa na hofu baada ya kuona Ndege ndogo ikijiandaa kupaa kwa kupita kwenye maji yaliyojaa kwenye sehemu ya barabara, tazama hapa chini kujionea

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*