Video: Kijana alivyosombwa na maji LIVE Wananchi wakimtazama DSM

Hili tukio limetokea Dar es salaam ambapo kijana mmoja alieonekana kusaidia wengine kuvuka baada ya mvua kubwa kuharibu daraja, alisombwa na maji baada ya kuteleza na kuangukia kwenye maji yaliyokua yanapita kwa kasi, tazama kwenye hii video hapa chini

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*