Breaking News: Diamond Akamatwa na Polisi Kwa Kusambaza Picha za Faragha live Waziri Mwakyembe atangaza bungeni (VIDEO)

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe, amesema kuna baadhi ya wasanii ambao walianza kufanya uhuni ndani ya mitandao akiwemo mwanamuziki nyota, Diamond Platinumz, ambaye tayari amekamatwa na polisi na anahojiwa kutokana na picha alizozungusha.

Diamond na Nandy wahojiwa polisi kisa video chafu.

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

 

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*