MFAHAMU BODIGADI HUYU MPYA WA RAIS ALIVYOKARIBISHWA IKULU

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa akimkaribisha Ikulu, Msaidizi Mpya wa Rais Dkt. John Magufuli, Kanali Mlunga ambaye amechukua nafasi ya Mbaraka Mkeremy aliyepandishwa cheo na kuwa Brigedia Jenerali.

Gerson Msigwa akimuaga aliyekuwa msaidizi wa Rais, Mbaraka Mkeremy aliyepandishwa cheo na kuwa Brigedia Jenerali.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*